- 1,712 viewsDuration: 2:24Marasi wanne wa mataifa ya Kigeni wakiongozwa na Yoweri Museveni wa Uganda wameunga mkono mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta katika kaunti ya Lamu, wakisema utaendeleza maendeleo barani. Aidha, serikali, wakazi na viongozi wametakiwa kuunga mkono juhudi za wawekezaji wa kigeni kufanikisha biashara zao ili kuboresha uchumi wa nchi