Skip to main content
Skip to main content

Martha Karua aikosoa serikali kwa kupuuza usalama wa wakenya

  • | Citizen TV
    642 views
    Duration: 1:15
    Kinara wa PLP Martha Karua ameikosoa serikali kwa kile alichodai kuwa ni kupuuza usalama wa Wakenya na kukiuka haki za binadamu. Karua ameitaka serikali kuchukua hatua kuhakikisha usalama wa wananchi unalindwa na haki zao zinaheshimiwa