Skip to main content
Skip to main content

Maseneta wakabili Kanja na Amin kuhusu visa vya magenge

  • | Citizen TV
    2,894 views
    Duration: 4:17
    Inspekta Jenerali wa polisi Douglas kanja na mkurugenzi wa DCI Mohamed Amin walikabiliwa na wakati mgumu kujibu maswali ya maseneta wa kamati ya usalama. Maafisa hao wakuu wakitakiwa kutoa maelezo kuhusu wahusika wa mashambilizi dhidi ya seneta wa vihiga godfrey osotsi na ufyatulianaji risasi huko isiolo wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo. Na kama anavyoarifu ben kirui maseneta wanataka waziri wa usalama kipchumba murkomen na katibu wake raymond omollo kufika mbele ya kamati hiyo kutoa maelezo.