Skip to main content
Skip to main content

Mashabiki wakutana na watangazaji wa KBC Kisumu

  • | KBC Video
    53 views
    Duration: 2:32
    Wanafunzi wa shule jumuishi ya Joel Omino walipata fursa ya kutangamana na watangazaji nguli na chipukizi wa shirika la utangazaji humu nchini, KBC huko Kisumu. Ziara hiyo ya wanafunzi ilikuwa sehemu ya shughuli za juma moja zinazoandaliwa na shirika hili kuangazia ukuaji wa redio ambazo kilele chake kitakuwa siku ya redio duniani hapo kesho. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive