Skip to main content
Skip to main content

Mashabiki wazuru studio za Pwani FM huku maadhimisho ya wiki ya redio yakiendelea KBC

  • | KBC Video
    24 views
    Duration: 1:27
    Kituo cha redio cha shirika la KBC, Pwani FM kiliendelea kuadhimisha wiki ya redio kwa mbwembwe huku kikiwaalika wageni kuzuru makao yake katika jumba la Sauti mjini Mombasa. Kupitia fursa za kutangamana, kujifunza na kusherehekea na watangazaji, shirika la KBC linajenga mahusiano na kizazi kijacho cha watangazaji wa redio. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive