Skip to main content
Skip to main content

Mashahidi wasimulia dakika za mwisho za Tob Cohen

  • | Citizen TV
    2,610 views
    Duration: 1:26
    Mashahidi katika kesi ya mauaji ya mfanyabiashara Tob Cohen wameelezea mahakama kuhusu dakika zake za mwisho kabla ya kutoweka usiku wa tarehe 19 Julai, mwaka wa 2019, na mwili wake kupatikana siku 60 baadaye