- 2,291 viewsDuration: 1:09Mashambulizi ya washukiwa wa kundi la Al-Shabaab mpakani mwa Kenya na Somalia yamezidisha wasiwasi wa usalama katika kaunti ya Mandera huku maafisa watano wa usalama wakiuawa katika shambulizi la karibu na bwawa la Wantey, eneo la Lafey. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya