2 Oct 2026 1:40 pm | Citizen TV 656 views Duration: 2:08 Baadhi ya mashirika ya haki za binadamu kaunti ya Kwale na wakaazi wameitaka serikali kuu kupitia wizara ya madini kuweka wazi habari muhumu kuhusu maswala ya uchimbaji madini katika msitu wa Mrima huko Lungalunga.