- 2,436 viewsDuration: 3:21Mashirika ya kutetea haki yamesema kuwa watu 12 walifariki katika maandamano ya jana yaliyoshuhudiwa katika kaunti 29 nchini. Sasa familia za baadhi ya waathiriwa zinataka haki na uwajibikaji kuhusu yaliyojiri wakati wa maandamano hayo. Wakati huo huo, familia zilizoathiriwa zinaendelea kuomboleza huku baadhi zikianza maandalizi ya mazishi ya wapendwa wao.