Skip to main content
Skip to main content

Mashirika ya haki yataka maandamano ya kumbukumbu yalindwe

  • | Citizen TV
    960 views
    Duration: 2:41
    Mashirika ya kutetea haki na yale ya kiraia yamesema maandalizi yamekamilika kwa maandamano ya amani yaliyopangwa kufanyika kesho kwa lengo la kuwakumbuka waathiriwa wa Juni 25 mwaka 2024 pamoja na wale wa mwaka jana. Mashirika hayo yamewataka maafisa wa polisi kuhakikisha usalama wa waandamanaji na kujizuia kutumia nguvu kupita kiasi wakati wa shughuli hiyo, yakisisitiza umuhimu wa kuheshimu haki ya kukusanyika na kuandamana kwa amani.