Skip to main content
Skip to main content

Mashirika ya kupambana na dhuluma za kijinsia kaunti ya Kilifi yatoa hamasisho

  • | Citizen TV
    432 views
    Duration: 2:35
    Mashirika ya kupambana na dhuluma za kijinsia na haki za watoto kwa ushirikiano na kaunti ya Kilifi sasa yaanzisha mchakato wa kutoa hamasa kupitia viongozi wa kidini katika juhudi za kupunguza visa vya dhuluma dhidi ya watoto.