- 591 viewsDuration: 3:36Mashirika ya maji katika Kaunti ya Machakos yanaendelea kusambaza maji kwa wakazi, huku upatikanaji wa huduma hiyo muhimu ukichangia katika ukuaji wa uchumi. Usambazaji wa maji unalenga pia kusaidia shughuli za biashara na kuboresha maisha ya wananchi.