Skip to main content
Skip to main content

Mashirika Yaikemea Ongezeko la Dhuluma Dhidi ya Wanawake

  • | Citizen TV
    1,733 views
    Duration: 45s
    Muungano wa mashirika ya kutetea haki za wanawake wakiongozwa na Federation of Women Lawyers in Kenya (FIDA) umekemea vikali ongezeko la dhuluma dhidi ya wanawake nchini.