Skip to main content
Skip to main content

Mashirika yatetea maandamano ya Saba Saba licha ya marufuku ya polisi

  • | Citizen TV
    7,356 views
    Duration: 3:06
    Baadhi ya mashirika ya kijamii yanasisitiza kuwa maandalizi ya maandamano ya Saba Saba yataendelea kesho kama yalivyopangwa. Jijini Nairobi, waandamanaji wanatarajiwa kuelekea majengo ya Bunge kuwasilisha malalamishi yao. Hata hivyo, maafisa wa polisi wamepiga marufuku maandamano hayo wakisema hawajapokea ilani yoyote, na wameonya kuwa yeyote atakayeshiriki atachukuliwa hatua za kisheria.