Skip to main content
Skip to main content

Maskwota wa chelimo kaunti ya Kericho waandamana kuondolewa kwenye orodha ya wizara ya ardhi

  • | Citizen TV
    466 views
    Duration: 1:51
    Akiongoza kundi hilo baada ya mkutano uliohudhuriwa na wawakilishi 10 kati ya wakazi 400 ambao majina yao hayakuingizwa kwenye orodha ya watakaogawiwa shamba, mkazi Elisabeth Tuimising asema kuwa kuna baadhi ya viongozi walioingilia mchakato huo na kuchochea baadhi ya maskwota kutemwa nje ya orodha.