Skip to main content
Skip to main content

Maswali yaibuka kuhusu ahadi ya ufadhili wa elimu ya juu

  • | Citizen TV
    6,651 views
    Duration: 3:25
    Tangazo la Rais William Ruto kuwa wanafunzi wote wanaofaulu kujiunga na vyuo vikuu na taasisi za kiufundi watapata ufadhili limeendelea kuibua maswali miongoni mwa wadau wa elimu. Huku baadhi ya wanafunzi wakiripoti kushindwa kuendelea na elimu ya juu kupitia mfumo uliopo sasa, wengine wamelazimika kutia breki ndoto zao kutokana na kukosa fedha za kufadhili masomo yao.