Skip to main content
Skip to main content

Matatu za chama cha Mamoa zaondoka kwenye maegesho

  • | Citizen TV
    447 views
    Duration: 1:52
    Shughuli za Uchukuzi zilikatizwa kwa muda kwenye maegesho ya mabasi ya Machakos baada ya matatu za chama cha wamiliki wa matatu cha machakos MAMOA kuwashusha na kuwachukua abiria kutoka nje ya maegesho hayo. Chama hicho kiliondoa magari zaidi ya 50 kutoka kwa sacco mbalimbali . Akizungumza na wanahabari, Mwenyekiti wa Chama hicho, Onesmus Kyalo Ndambuki amesema kwamba wamiliki wa Matatu wanapinga mgao wa nafasi za maegesho akidai baadhi zimetengwa kinyume cha sheria .