Skip to main content
Skip to main content

Matiang’i akashifu vurugu za kisiasa Homa Bay, alaumu serikali kwa kushindwa kulinda wananchi

  • | Citizen TV
    568 views
    Duration: 1:07
    Naibu kinara wa chama cha Jubilee dkt Fred Matiangi amekashifu vikali matukio ya hapo jana kaunti ya homa bay katika kampeni za linda mwananchi. matiangi amemnyoshea kidole cha lawama rais william ruto na asasi za usalama kwa kufeli kuwalinda wananchi dhidi ya mashumbulizi ya kisiasa.