- 581 viewsDuration: 3:05Wanafunzi wengi waliohitimu Kidato cha Nne na kufuzu kujiunga na vyuo vikuu na taasisi za kiufundi wamekwama nyumbani kutokana na ukosefu wa karo na kuchelewa kupata ufadhili wa serikali chini ya mpango wa sasa wa elimu ya juu. Baadhi ya wanafunzi na wazazi wao wamekaribisha tangazo la William Ruto kwamba serikali itafadhili wanafunzi wote wanaofuzu kujiunga na vyuo vikuu na taasisi za TVET.