- 5,378 viewsDuration: 2:18Familia moja kutoka kijiji cha Kimalal, katika eneo bunge la Soin Sigowet, yataka haki kufuatia kifo cha mwana wao mwenye umri wa miaka 28, Hillary Kipkemoi, adaiwaye kufariki baada ya kushambuliwa katika klabu moja iliyoko Sigowet Shopping Centre.