- 1,465 viewsDuration: 4:52Maumivu ya mgongo si ya kupuuzwa yawe yametokana na kukaa muda mrefu, kubeba vitu vizito ama sababu nyingine. Hata hivyo ni wakati gani mtu anastahili kumuona daktari kufuatia maumivu hayo? Dkt Rahab njambi wa kituo cha Equity Afya Ruiru anatueleza mengi kuhusu tatizo hilo ambalo linaweza kumkumba mtu yeyote, wakati wowote.