Skip to main content
Skip to main content

Mawakili wa bunge watetea kutimuliwa kwa Gachagua

  • | Citizen TV
    2,883 views
    Duration: 3:34
    Mawakili wa bunge wameieleza mahakama kuwa aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua alitimuliwa ofisini kisheria na kwamba bunge lilifuata taratibu zote za kikatiba. Mawakili hao wakiongozwa na wakili wa Seneti Tom Ojienda wameiambia mahakama kuwa Gachagua, kulingana na sheria, aliondolewa ofisini kikatiba na hatashikilia wadhifa wowote wa umma.