Skip to main content
Skip to main content

Mawakili wa mbunge John Kaguchia wadai hawajui aliko mteja wao

  • | Citizen TV
    9,241 views
    Duration: 2:58
    Mawakili wa Mbunge wa Mukurweini John Kaguchia wanadai kuzungushwa na asasi za usalama kuhusu aliko mbunge huyo. Kaguchia alikamatwa na maafisa wa idara ya upelelezi, DCI katika afisi za kampuni ya Royal Media Services mapema asubuhi ya leo. Awali Kaguchia alipelekwa katika makao makuu ya DCI katika barabara ya kiambu.