Skip to main content
Skip to main content

Mawakili waitaka tume ya NCIC kuwachukulia hatua wanasiasa wanaotoa matamshi ya chuki nchini

  • | NTV Video
    341 views
    Duration: 1:25
    Chama cha Mawakili Wachanga kutoka jamii ya GEMA kimeitaka Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Maridhiano (NCIC) kuwachukulia hatua za kisheria wanasiasa wanaotoa matamshi ya chuki nchini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya