22 Jul 2026 10:45 am | Citizen TV 1,199 views Duration: 7:15 viongozi wa chama cha mawakili nchini ( LSK Nairobi nao wawaagiza wanachama wake kususia vikao vya mahakama kwa madai ya ufisadi, mrundiko wa kesi mahakamani na kujikokota kwa shughuli za mahakama nchini