- 2,405 viewsDuration: 2:16#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews Viongozi wa eneo la Nyanza wamesifia serikali pana chini ya Rais William Ruto na kinara wa ODM Raila Odinga wakidai ni mara ya kwanza ambapo wamejihisi kuwa kwenye serikali. Wakizungumza kwenye mazishi ya aliyekuwa waziri Dalmas Otieno, viongozi hao wanaounga mkono serikali ya Kenya Kwanza wameonya upinzani wakidai hawana mpango wowote kwa taifa. Viongozi hawa wametaka Wakenya kujisajili kuwa wapiga kura. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews