- 4,258 viewsDuration: 2:45Kutoka kwa mavazi na picha hadi safari ya kutoka Hazina ya Kitaifa kuelekea Majengo ya Bunge, Waziri wa Hazina kuu ya Kitaifa John Mbadi aliendeleza desturi ya muda mrefu ya siku ya Bajeti iliyowekwa na waliomtangulia katika afisi hiyo. Serfine Achieng' Ouma anaangazia jinsi Waziri Mbadi alivyoendeleza tamaduni hii na namna mchakato wa usomaji wa bajeti ulivyobadilika kutoka shughuli ya kawaida ya Bunge iliyokuwa ikifanyika bila mvuto mkubwa hadi kuwa hafla yenye mbwembwe.