Skip to main content
Skip to main content

Mbadi apendekeza mpango wa msamaha wa madeni kudhibiti deni la taifa

  • | Citizen TV
    3,417 views
    Duration: 3:47
    Deni la kitaifa likiwa limefikia shilingi trilioni 12.8. Waziri wa hazina ya kitaifa John Mbadi sasa anapendekeza mpango wa kipekee ambapo serikali itaweka mikataba ya msamaha wa madeni na mataifa yanayoidai Kenya. Chini ya mpango huo, fedha za deni litakalosamehewa litatumiwa kwa miradi ya uzalishaji wa chakula na ujenzi wa miundombinu. Mbadi anasema mpango huo utapunguza na kudhibiti deni la kitaifa