Skip to main content
Skip to main content

Mbadi asema bei ya mafuta imepanda katika soko la kimataifa

  • | Citizen TV
    2,817 views
    Duration: 3:27
    Waziri wa hazina ya taifa John Mbadi anasema serikali itaingilia kati ili kuwalinda wakenya kutokana na kuongezeka kwa bei ya mafuta ya petroli katika soko la kimataifa ambayo itaathiri bei za mafuta humu nchini. Mbadi anasema kuwa mamlaka itachukua kodi ya maendeleo ya mafuta, ambayo kwa sasa ni shilingi bilioni 17, katika kipindi cha miezi mitatu ijayo ili kupunguza shinikizo kwenye pampu. Ameongeza kuwa serikali pia inazingatia marekebisho ya ushuru wa thamani VAT kwenye mafuta, licha ya kuwa kuna akiba ya kutosha nchini.