Skip to main content
Skip to main content

Mbadi ashutumu upinzani kuhusu mswada wa fedha 2026

  • | Citizen TV
    905 views
    Duration: 2:40
    Waziri wa Hazina ya Kitaifa John Mbadi sasa anasema kuwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani wamekuwa wakitoa taarifa za kupotosha kwa Wakenya kuhusu mswada wa fedha wa mwaka 2026 ambao umepitishwa na Bunge la Kitaifa. Waziri John Mbadi amesema kuwa wafanyabiashara wa mitumba wangepata nafuu ya ushuru iwapo mapendekezo yaliyokuwemo kwenye mswada huo awali yasingeondolewa.