Skip to main content
Skip to main content

Mbadi: We have done everything possible to contain the prices of fuel

  • | Citizen TV
    8,341 views
    Duration: 3:07
    Waziri wa Hazina kuu John mbadi anasisitiza kuwa serikali imeweka kila juhudi kujaribu kuwaokoa wakenya kutokana na bei ya juu ya mafuta. Mbadi akisema iwapo serikali haingechukua hatua hizo bei ingepanda zaidi. Akizungumza katika afisi yake Waziri amesema njia tofauti zingetumika kulalamika badala ya mgomo unaoshuhudiwa ambao umekwamisha kabisa shughuli muhimu za usafiri na biashara..