- 2,790 viewsDuration: 7:57Mbunge wa Mukureini John Kagichia leo amefikishwa katika mahakama ya milimani akikabiliwa na shtaka la kutoa matamshi ya uchiochezi katika mkutano wa kisiasa eneo la mlima kenya. Kulinaga na upande wa mashtaka, matamshi aliyotoa kaguchia yalikuwa ya kutishia usalama wa wananchi ambao hawaungi sera za wanaopinga serikali iliyoko mamlakani.