- 607 viewsDuration: 2:28Mbunge wa Mukurwe-ini John Kaguchia amefika mbele ya Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa, NCIC, kujibu madai ya uchochezi. Mbunge huyo ameiambia tume hiyo kuwa matamshi yake yalinukuliwa vibaya huku NCIC ikiwaonya wanasiasa wote nchini kuwa sheria itawakabili wote wenye tabia za kuwachochea Wakenya. Stephen Letoo anaaarifu.