Skip to main content
Skip to main content

Mbunge Kaguchia aachiliwa kwa dhamana ya Sh250,000

  • | Citizen TV
    1,911 views
    Duration: 2:57
    Mbunge wa Mukurweini John Kaguchia ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki mbili na hamsini elfu na Mahakama ya Milimani. Kaguchia alifikishwa mahakamani mapema leo ambapo mawakili wake walilalamikia kunyanyaswa kwa mbunge huyo na kunyimwa haki ya kuachiliwa kwa dhamana licha ya amri mbili tofauti za mahakama. Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka iliwasilisha mashtaka kuwa mbunge huyo alitoa matamshi ya kukera yaliyonuiwa kuvuruga amani alipokuwa Kieni, Kaunti ya Nyeri, wiki iliyopita, kama Melita Oletenges anavyoarifu.