- 1,120 viewsDuration: 3:50Mbunge wa Mukurwe-ini John Kaguchia amefika mbele ya tume ya uwiano na utangamano NCIC kujibu mashtaka ya tuhuma za uchochezi. Mawakili wa Kaguchia wanadai kuwa maneno ya mteja wao yalinukuliwa nje ya muktadha aliokusudia na kamwe hakuwa na nia ya kueneza matamshi ya chuki.