Skip to main content
Skip to main content

Mbunge Kaguchia akamatwa, azuiliwa Kamukunji

  • | Citizen TV
    10,393 views
    Duration: 3:41
    Mbunge wa Mukurweini John Kaguchia atasalia korokoroni usiku huu ambapo anazuiliwa na maafisa wa polisi katika kituo cha Kamukunji hapa Nairobi baada ya kukamatwa mapema leo. Kaguchia alikamatwa baada ya kukesha katika ofisi za Royal Media Services alikosalia baada ya kuhudhuria kipindi cha runinga jana usiku. Viongozi wa upinzani wakiongozwa na kinara wa DCP Rigathi Gachagua na mwenzake wa Wiper Kalonzo Musyoka wameshutumu kukamatwa kwa mbunge huyo.