Skip to main content
Skip to main content

Mbunge wa Bumula, Jack Wamboka ataka wakaazi Bungoma kushabikia vuguvugu

  • | Citizen TV
    2,191 views
    Duration: 1:31
    Mbunge wa Bumula, Jack Wamboka, awataka wakazi wa Kaunti ya Bungoma kuwachagua viongozi watakaowania nyadhifa mbalimbali kupitia tikiti ya chama cha Linda Mwananchi katika uchaguzi mkuu wa 2027 kuanzia ngazi ya wabunge wa Kaunti hadi magavana