Skip to main content
Skip to main content

Mbunge wa Gilgil asema ufadhili wa masomo wa serikali ni finyu

  • | Citizen TV
    192 views
    Duration: 1:15
    Hofu imetenda kwa maelfu ya wanafunzi wanaotarajiwa kufanya mtihani wa Kitaifa ,huku Mbunge wa Gilgil ,Martha Wangari akionya huenda wakakosa kufanya mtihani kutokana na hali ngumu ya kifedha inayokumba sekta ya elimu