- 1,084 viewsDuration: 1:33Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro aikosoa serikali kwa kushindwa kudhibiti magenge ya wahuni. kadhalika ailaumu serikali kutokana na visa vya utekaji nyara na kutoweka kwa watu, akisema vitendo hivyo vyakiuka haki za kimsingi za binadamu na kudhoofisha utawala wa sheria.