Skip to main content
Skip to main content

Mbunge wa Mbooni Erastus Kivasu Nzioka akemea visa vya utekaji nyara

  • | Citizen TV
    429 views
    Duration: 2:29
    Erastus Kivasu Nzioka ameikosoa serikali kuhusu visa vya utekaji nyara vinavyodaiwa kuwalenga vijana na waandamanaji nchini. Mbunge huyo amesema baadhi ya waathiriwa wameripoti kuteswa na kunyimwa haki zao, huku akitaka uchunguzi wa kina ufanyike na wote watakaobainika kuhusika wachukuliwe hatua za kisheria kwa mujibu wa sheria.