Skip to main content
Skip to main content

McCarthy akabiliwa na maamuzi mawili kabla ya Eritrea

  • | Citizen TV
    3,524 views
    Duration: 1:26
    Kocha wa Harambee Stars Benni McCarthy ana maamuzi mawili ya kufanya kabla ya mechi ya kesho ya kufuzu kwa AFCON 2027 dhidi ya Eritrea katika Uwanja wa Nyayo. Kocha huyo hana uhakika kuhusu nani ataanza mechi hiyo, huku akiwa bila manahodha wake wawili katika mchezo huu wa kwanza wa kufuzu.