29 Dec 2025 8:16 pm | Citizen TV 312 views Duration: 1:27 Green commandos na young ladies ndio mabingwa wa makala ya 15 ya dimba la katibu mkuu wa mabingwa wa ligi kuu nchini police fc, chris oguso, lililofanyika katika uwanja wa mahanga kaunti ya Vihiga.