- 928 viewsDuration: 3:06Baraza la Wanahabari nchini Kenya limezindua mwongozo mpya wa kuwaelekeza wanahabari wanapoandaa taarifa wakati wa uchaguzi mkuu mwaka ujao. Baraza hilo linasema mwongozo huo unazinduliwa wakati ambapo sekta ya habari inakabiliwa na changamoto mpya, ikiwemo matumizi ya akiliunde (AI), taarifa potofu na vitisho vinavyoongezeka dhidi ya wanahabari.