zozo wa ardhi katika Kaunti ya Meru umeibua maswali kuhusu uamuzi wa mahakama, baada ya familia moja kutoka Kijiji cha Ngusishi kudai kuwa Mahakama ya Sheria ya Meru iliagiza umiliki wa kipande cha ardhi kurejeshwa kwa jina la nyanya yao, ambaye kwa mujibu wa familia hiyo alikuwa amefariki miaka mitatu kabla ya ardhi hiyo kupimwa na kutengwa kwa ajili ya mauzo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya