Skip to main content
Skip to main content

Mexico kuanza Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Afrika Kusini

  • | Citizen TV
    14,043 views
    Duration: 1:13
    Kombe la Dunia la FIFA World Cup 2026 litaanza usiku wa leo na mmoja wa wenyeji, Mexico, ambayo itamenyana na South Africa. Mashindano hayo yanaandaliwa kwa pamoja na Canada, United States na Mexico. Macho yote yatakuwa kwenye uwanja mashuhuri wa Mexico City, ambao zamani ulijulikana kama Estadio Azteca, kwa mechi ya ufunguzi.