- 447 viewsDuration: 58sGodfrey Simiyu, mfanyabiashara wa mboga na nafaka kutoka kitengela kaunti ya Kajiado anasherehekea ushindi wa shilingi milioni1,118,617 baada ya kucheza mchezo wa Jet-X kwenye Shabiki.com. Jamaa huyo anasema anapanga kutumia sehemu ya fedha hizo kuwalipia wanawe karo na kujenga nyumba, ili kutimiza ndoto yake ya tangu utotoni. Anasema alianza kucheza kwa shilingi 150 pekee, kabla ya kukuza ushindi wake hadi kufikia zaidi ya shilingi milioni moja.