2 Sep 2026 1:24 pm | Citizen TV 2,107 views Duration: 2:12 Bunge la Kaunti ya Machakos limemkosoa Gavana Wavinya Ndeti, likimshutumu kwa kukiuka itifaki na kuingilia mchakato wa Bunge wakati wa mzozo kuhusu bajeti ya kaunti ya mwaka wa 2026.