22 Jul 2026 10:09 am | Citizen TV 455 views Duration: 1:57 Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Kericho wahangaika kutokana na mgomo uendeleao wa madaktari ambao waathiri huduma za matibabu katika kaunti hiyo.