- 345 viewsDuration: 2:11Madaktari katika kaunti ya Kericho wameweka chini zana zao za kazi na kuapa kutorejea hospitalini hadi matakwa yao yaangaziwe. Madaktari hao wanashinikiza kutekelezwa kwa mkataba wa maelewano uliotiwa saini mwezi Machi mwaka 2025. Chama cha Madaktari KMPDU kimesema kuwa madaktari wanane katika kaunti hiyo hawajalipwa mishahara kwa miezi mitatu sasa.