Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa mawakili waendelea katika Kaunti ya Bungoma

  • | Citizen TV
    272 views
    Duration: 1:18
    Huku mgomo wa Chama cha Mawakili nchini ukiendelea, mawakili wa Kaunti ya Bungoma wamtaka jaji mkuu Martha Koome kuongoza mageuzi ya haraka katika idara ya mahakama ili kurejesha imani ya wananchi katika mfumo wa utoaji haki.